Jeremiah 33:15-16


15 a“ ‘Katika siku hizo na wakati huo
nitalifanya Tawi la haki lichipuke kutoka ukoo wa Daudi,
naye atafanya lile lililo haki na sawa
katika nchi.

16 bKatika siku hizo, Yuda ataokolewa
na Yerusalemu ataishi salama.
Hili ndilo jina atakaloitwa:
Bwana Haki Yetu.’

Copyright information for SwhKC